Ishirini

Ishirini (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 20 kwa tarakimu za kawaida na XX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 19 na kutangulia 21.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne