Ishirini na mbili

Ishirini na mbili ni namba inayoandikwa 22 kwa tarakimu za kawaida na XXII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 21 na kutangulia 23.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 11.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne