Ishirini na saba ni namba inayoandikwa 27 kwa tarakimu za kawaida na XXVII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 26 na kutangulia 28.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 3 x 3 (au 33).
Developed by Nelliwinne