Isla de la Juventud (zamani Isla de Pinos) ni kisiwa kikubwa kuliko vyote vya karibu na Kuba.
Kina eneo la kilometa mraba 2,419 na wakazi 86,420.
Developed by Nelliwinne