Italia Kusini

Italia Kusini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Abruzzo, Basilicata, Calabria, Campania, Molise na Puglia.

Kwa jumla ni km2 73,223 na wakazi ni 14,118,477[2]

  1. http://epp.eurostat.ec.europa.eu/portal/page/portal/nuts_nomenclature/introduction
  2. "Dato Istat al 30/09/2015". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-07.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne