Itikadi kali

Boko Haram kundi la itikadi kali kutoka Afrika
Kikundi cha itikadi kali cha Al Shabaab Somalia

Itikadi kali ni dai la kushikilia sana misimamo ya dini[1][2][3][4][5] au falsafa au siasa fulani kwa kuchukua hasa maneno yaliyoandikwa na mwanzilishi bila ufafanuzi wowote, kadiri unavyohitajika kutokana na muda kupita au mabadiliko mbalimbali kutokea.[6]

Kwa jumla msamiati huu unatumika kwa maana mbaya[7][8], tofauti na mtu kusifiwa kwa uaminifu wake unaoendana na msimamo usio na ukali dhidi ya wengine.

  1. Nagata, Judith (Juni 2001). "Beyond Theology: Toward an Anthropology of "Fundamentalism"". American Anthropologist. 103 (2).{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Altemeyer, B., & Hunsberger, B. (1992). Authoritarianism, religious fundamentalism, quest, and prejudice. International Journal for the Psychology of Religion, 2(2), 113-133. doi: 10.1207/s15327582ijpr0202_5
  3. Kunst, J., Thomsen, L., Sam, D. (2014). Late Abrahamic reunion? Religious fundamentalism negatively predicts dual Abrahamic group categorization among Muslims and Christians. European Journal of Social Psychology, https://www.academia.edu/6436421/Late_Abrahamic_reunion_Religious_fundamentalism_negatively_predicts_dual_Abrahamic_group_categorization_among_Muslims_and_Christians
  4. Kunst, J. R., & Thomsen, L. (2014). Prodigal sons: Dual Abrahamic categorization mediates the detrimental effects of religious fundamentalism on Christian-Muslim relations. The International Journal for the Psychology of Religion. doi: 10.1080/10508619.2014.93796 https://www.academia.edu/7455300/Prodigal_sons_Dual_Abrahamic_categorization_mediates_the_detrimental_effects_of_religious_fundamentalism_on_Christian-Muslim_relations
  5. Hunsberger, B. (1995). Religion and prejudice: The role of religious fundamentalism, quest, and right-wing authoritarianism. Journal of Social Issues, 51(2), 113-129. doi: 10.1111/j.1540-4560.1995.tb01326.x
  6. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-08-17. Iliwekwa mnamo 2015-03-18.
  7. Harris, Harriet (2008). Fundamentalism and Evangelicals. Oxford: Oxford University Press. ISBN 0-19-953253-2. OCLC 182663241.
  8. Boer, Roland (2005). "Fundamentalism" (PDF). Katika Tony Bennett, Lawrence Grossberg, Meaghan Morris and Raymonnd Williams (mhr.). New keywords: a revised vocabulary of culture and society. Cambridge, Massachusetts: Blackwell Publishing. ku. 134–137. ISBN 0-631-22568-4. OCLC 230674627 57357498. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2005-05-23. Iliwekwa mnamo Julai 27, 2008. {{cite encyclopedia}}: Check |oclc= value (help); Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: multiple names: editors list (link) "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2005-05-23. Iliwekwa mnamo 2015-03-18.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne