Martins Okechukwu Justice (amezaliwa mnamo Septemba 29, mwaka 1977), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii J. Martins, ni mwanamuziki wa Nigeria, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki. Anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa Oyoyo, Jupa na Good Or Bad.[1][2][3][4][5][6] J. Martins pia anajulikana kwenye wimbo alioshirikishwa na P-Square wimbo wa E No Easy. Pia amewashirikisha Phyno, YCEE, Fally Ipupa, DJ Arafat, Koffi Olomide, Timaya.[7][8][9][10][11]
↑NEWSWATCH TIMES. "J Martins to drop fourth album". Newswatch Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 29, 2016. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)