Jack McVea

John Vivian McVea (5 Novemba 191427 Desemba 2000) alikuwa mpiga ala za upepo wa jazzi, swing, blues, na rhythm and blues kutoka Marekani, na pia alikuwa kiongozi wa bendi. Alipiga clarinet na saxofoni ya tenor na baritone.[1]

  1. Eagle, Bob; LeBlanc, Eric S. (2013). Blues - A Regional Experience. Santa Barbara: Praeger Publishers. uk. 409. ISBN 978-0313344237.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne