Jadi

Jadi ni malezi na makuzi asilia anayopewa mtu kulingana na mazingira anakotoka, kama vile kabila fulani. Mara nyingi dini inahusika nayo sana.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne