Jalada au faili (kwa Kiingereza: computer file) ni rasilimali ya tarakilishi inayotumika kutunza data katika kifaa cha kutunzia. Jadala zinaweza kutunza picha, video, programu au nakala. Jadala zinaweza kuwa .jpeg, .pdf, .png, .R...[1]
Developed by Nelliwinne