Jana

Jana ni kata ya Wilaya ya Msalala katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 21,090 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,099 waishio humo.[2] Jana ina msimbo wa posta 37328.

Kufuatana na kumbukumbu ya mzee Kishosha Sitta, kundi la kwanza la Sungusungu lilitokea mwaka 1982 hapa Jana, hatua iliyofuatwa na kuzinduliwa kwa harakati hii katika kata jirani ya Mwalugulu na baba yake Sitta Kishosha.[3]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 165
  2. Sensa ya 2012, Shinyanga Region - Kahama District Council
  3. Shindikilagi ya Sungusungu ilivyotumika kwa mauaji ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ Ilihifadhiwa 22 Machi 2017 kwenye Wayback Machine., taarifa ya Shija Felician, kwenye gazeti la Mwananchi, 28/12/2013

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne