Jane Joseph | |
Amezaliwa | 23 Clanricarde Gardens, Notting Hill London | 31 Mei 1894
---|---|
Amekufa | 9 Machi 1929 (umri 34) |
Jane Marian Joseph ( 31 Mei 1894 – 9 Machi 1929] ) alikuwa mtunzi, mpangaji na mwalimu wa muziki wa Uingereza. Pia alikuwa mwanafunzi na baadaye mshirika wa mtunzi Gustav Holst, akiwa muhimu katika usimamizi wa matamasha mbalimbali za muziki ambazo Holst aliyafadhili.[1]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)