Mfalme Jangsu wa Goguryeo (394 - 491, r. 413 - 491) alikuwa mtawala wa ishirini wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne