Jean Leloup

Jean Leloup (alizaliwa 14 Mei 1961) ni msanii na mwandishi wa nyimbo kutoka Kanada anayezungumza Kifaransa kutoka Sainte-Foy, Quebec, Kanada.

Anajulikana sana kwa jina hilo la kisanii la Kifaransa ambalo hupenda kulitafsiri kama John the Wolf, yaani Yohane Bweha, ingawa mwaka 2006 hadi Agosti 2008 alilibadili kuwa Jean Leclerc.[1][2]

  1. Corpus Ulaval (15 Machi 2021). "Les mutations de l'ethos dans l'œuvre de Jean Leloup (1989-2004)" (PDF).{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Jean Leloup | l'Encyclopédie Canadienne". www.thecanadianencyclopedia.ca. Iliwekwa mnamo 2021-03-15.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne