Jeanine Basinger (alizaliwa Februari 3, 1936, ) [1]ni mwanahistoria wa filamu Mmarekani ambaye alistaafu mwaka wa (2020 ) akiwa Profesa wa Corwin-Fuller wa Masomo ya Filamu, na Mwanzilishi na Mkusanyaji wa The Cinema Archives katika Chuo Kikuu cha Wesleyan, Middletown, Connecticut.[2]