Jenna Wortham | |
---|---|
Amezaliwa | Jenna Wortham 4 November 1982 |
Jina lingine | Jenna |
Kazi yake | Mwandishi wa Habari |
Jenna Wortham | |
---|---|
Jenna Wortham akisema katika MoMA, 2016 | |
Born | Novemba 4 1982 |
Occupation | Journalist |
Alma mater | University of Virginia |
[JennyDeluxe.com JennyDeluxe.com] |
Jenna Wortham (alizaliwa 4 Novemba 1982)[1] ni mwandishi wa habari wa Marekani. Amekuwa akifanya kazi kama mwandishi wa habari za kitamaduni kwenye jarida la The New York Times.[2] Pia ni mtayarishaji wa podikasti ya "still processing" kwenye jarida la The New York Times.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)