Jermaine Dupri | |
---|---|
![]() Dupri mnamo 2012
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jermaine Dupri Mauldin |
Pia anajulikana kama | J.D. |
Amezaliwa | 23 Septemba 1972 |
Asili yake | Atlanta, Georgia, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, rapa |
Miaka ya kazi | 1987–mpaka sasa |
Studio | So So Def Recordings, Island Urban Music, TAG Records[1] |
Jermaine Dupri Mauldin (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Jermaine Dupri au J.D.; amezaliwa 23 Septemba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama msanii bora wa rekodi, mtayarishaji, mtunzi wa nyimbo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani.
Amefanya kazi na wasanii kama Mariah Carey, Nelly, Janet Jackson, Chanté Moore, Tamia, Mya, Kris Kross, na wengine wengi tu, huko Marekani.