Jero (pia: Jeroen, Jeron, Iero, Hiëron; alifariki Noordwijk, Uholanzi, 856) alikuwa padri kutoka Uskoti mmisionari huko Frisia aliyekatwa kichwa na Wavikingi Wapagani[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti[2].
Developed by Nelliwinne