Hironimus Pakaenoni, S.T.L. (alizaliwa 14 Aprili 1969) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Indonesia. Aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Kanisa Katoliki la Kupang tarehe 9 Machi 2024 kumrithi Mons. Peter Turang.[1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)