Jerry Victor Doucette (9 Septemba1951 – 18 Aprili2022) alikuwa mpiga gitaa, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Kanada. Alijulikana kwa wimbo wake maarufu "Mama Let Him Play", ambao ulifika kwenye "Billboard Top 100". Bendi yake, Doucette, ilishinda Tuzo ya Juno kwa Kundi la Kutia Moyo la mwaka 1979.[1][2][3]