Jiji

Jiji la New York ni maarufu kwa maghorofa yake marefu.
Rio de Janeiro ni jiji maarufu kwa uzuri wake lakini sehemu ya wakazi wake hukalia mitaa ya vibanda.
Jiji la Tampere nchini Ufini.

Jiji ni mji mkubwa. Kuna tofauti kati ya nchi na nchi wakati wa kueleza ni sifa gani pamoja na ukubwa gani vinavyofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne