Jim Carrey


Jim Carrey
Carrey mnamo 2008
Carrey mnamo 2008
Jina la kuzaliwa James Eugene Carrey
Alizaliwa 17 Januari 1962
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1981 hadi leo
Ndoa Melissa Womer (1987-1995)
Lauren Holly (1996-1997)
Watoto 1

James Eugene "Jim" Carrey (alizaliwa 17 Januari 1962) ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe, akiwa kama mwigizaji filamu na mchekeshaji bora wa Kanada.

Anafahamika kwa kucheza filamu za kuchekesha kama vile Ace Ventura: Pet Detective, Ace Ventura: When Nature Calls, The Mask, Dumb and Dumber, Me, Myself & Irene, The Cable Guy, Liar Liar, na Bruce Almighty. Carrey pia amepata mafanikio katika filamu za maigizo kama vile The Truman Show, Man on the Moon, na Eternal Sunshine of the Spotless Mind. Ameshinda tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 1999 na 2000. Mnamo mwaka 2008, ameigiza filamu ya Yes Man.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne