Jimbo Katoliki la Kasese (kwa Kilatini "Dioecesis Kasesensis") ni mojawapo kati ya majimbo 20 ya Kanisa Katoliki nchini Uganda na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mbarara.
Askofu wake ni Acquirino Francis Kibira.