Jimbo katoliki la Kigoma (kwa Kilatini "Dioecesis Kigomaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Tabora.
Askofu wake ni Joseph Mlola, ALCP/OSS.