Jimbo Katoliki la Njombe (kwa Kilatini "Dioecesis Niombena") ni mojawapo kati ya majimbo 35 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Kwa sasa Askofu wake ni Eusebius Kyando.