Jimbo Katoliki la Boma (kwa Kilatini Dioecesis Bomaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa.
Askofu wake ni Cyprien Mbuka, C.I.C.M.