Jimbo Katoliki la Butembo-Beni (kwa Kilatini Dioecesis Butembensis-Benensis) ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu.
Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Bukavu.
Askofu wake ni Melchisedec Sikuli Paluku.