Jimbo katoliki la Mbinga (kwa Kilatini Dioecesis Mbingaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Askofu wake ni John Chrisostom Ndimbo.