Jimbo la Torit (kwa Kilatini Dioecesis Toritensis) ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba.
Askofu wake wa mwisho amefariki mwaka 2013 na tangu hapo jimbo halina mwingine. .