Jimbo la Imo Jina la utani la jimbo: Eastern Heartland | ||
![]() | ||
---|---|---|
Takwimu | ||
Gavana (Orodha) |
Ikedi Godson Ohakim (PDP) | |
Tarehi lililoanzishwa | 3 Februari 1976 | |
Mji mkuu | Owerri | |
Eneo | 5,530 km² Kuorodheshwa-namba 34 | |
Idadi ya Watu Sensa ya mwaka wa 1991 |
kuoropdheshwa-13 3,934,899[1] | |
GDP (PPP) -Jumla -Per Capita |
2007 (kadirio) $14.21 bilioni[2] $3,527[2] | |
ISO 3166-2 | NG-IM |
Jimbo la Imo ni moja ya majimbo 36 ya Nigeria na liko kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi, na Owerri ukiwa mji mkuu na mji mkubwa.