Jimbo la Lacs | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 7°3′8″N 4°26′30″W / 7.05222°N 4.44167°W | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,258,604[1] |
Jimbo la Lacs (kwa Kifaransa: District des Lacs) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire. Iko kitovu cha nchi[1].
Mwaka 2014, (Sensa ya Cote d'Ivoire ya 2014) idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,258,604[1].
Makao makuu yako Dimbokro.