John Lloyd Cruz | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | John Lloyd Cruz |
Alizaliwa | 24 Juni 1983 Ufilipino |
John Lloyd Cruz (Alizaliwa tar. 24 Juni 1983, Ufilipino) ni mmoja kati ya waigizaji wenye umri mdogo katika medani ya Tamthilia na filamu kutoka nchini Philippines. Aliibukia katika tamthilia "Gimik" na "Tabing Ilog". Tamthilia zilizompa umashuhuri mkubwa ulimwenguni ni pamoja "Kay Tagaal Kang Hinitay" na "It Might Be You", na "Maging Sino Ka Man" ambapo alishirikiana vema na Bea Alonzo.