John Patrick Boles (21 Januari 1930 – 9 Oktoba 2014) alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Boston, Massachusetts, na askofu wa Kanisa Katoliki. Alikuwa pia askofu wa jimbojina la Nova Sparsa.[1]
Developed by Nelliwinne