John William Colenso | |
![]() | |
Amezaliwa | 24 Januari 1814 Uingereza |
---|---|
Amekufa | 20 Juni 1883 |
Kazi yake | Askofu |
John William Colenso (24 Januari 1814 - 20 Juni 1883) alikuwa askofu wa Kanisa Anglikana kutoka Uingereza aliyeishi na kufanya kazi nchini Afrika Kusini tangu 1853. Alichunguza na kuandika juu ya lugha ya Kizulu pamoja na maandiko ya kidini na vitabu vingi kuhusu maisha nchini Afrika Kusini.