John Garang de Mabior | |
Muda wa Utawala 9 Januari 2005 – 30 Julai 2005 | |
Makamu wa Rais | Salva Kiir |
aliyemfuata | Salva Kiir |
Muda wa Utawala 9 Januari 2005 – 30 Julai 2005 | |
Rais | Omar al-Bashir |
mtangulizi | Ali Osman Taha |
aliyemfuata | Salva Kiir Vacant until 11 Agosti 2005 |
tarehe ya kuzaliwa | 23 Juni 1945 Bor (Jonglei, Sudan) |
tarehe ya kufa | 30 Julai 2005 (umri 60) New Site (Southern Sudan, Sudan) |
chama | SPLM |
ndoa | Rebecca Nyandeng De Mabior |
Dkt John Garang de Mabior (23 Juni 1945 - 30 Julai 2005) alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan na kiongozi wa zamani wa waasi wa Sudan People's Liberation Army.