John Njoroge Michuki (1 Desemba 1932 - 21 Februari 2012) alikuwa mwanasiasa wa Kenya, aliyetumikia kama Waziri wa Mazingira na Rasilimali za Madini. Alikuwa mbunge kutoka jimbo la Kangema.
Developed by Nelliwinne