Joseph Befe Ateba

Joseph Befe Ateba (25 Aprili 19624 Juni 2014) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipata daraja ya upadri mwaka 1987, kisha akateuliwa kuwa askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Kribi, Kameruni, mwaka 2008. Alifariki dunia akiwa bado madarakani.[1]

  1. Joseph Befe Ateba

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne