Jovenale wa Narni

Michoro pacha ya Massaccio; Mt. Jovenale anaonekana kulia pamoja na Mt. Antoni.

Jovenale wa Narni (alifariki Narni, Umbria, 369/377) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo (Italia ya Kati)[1][2][3].

Inasemekana alikuwa na asili ya Afrika Kaskazini akapewa uaskofu na Papa Damaso I.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei [5]

  1. (Kiingereza) Saint of the Day, May 3: Juvenal of Narni Ilihifadhiwa 8 Januari 2020 kwenye Wayback Machine. SaintPatrickDC.org. Retrieved March 6, 2012.
  2. (Kigiriki) Ὁ Ἅγιος Ἰουβενάλιος Ἐπίσκοπος Ναρνί. 3 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  3. (Kiitalia) http://www.santiebeati.it/dettaglio/51700
  4. Saint Gregory the Great in his Dialogues (IV, 12) and in his Homiliae in Evangelium speaks of a bishop of Narni named Juvenal, and describes him as a martyr. However, sometimes the title of martyr was given to bishops who did not necessarily die for their faith. Gregory also mentions a sepulcher associated with Juvenal at Narni.
  5. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne