Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Kiing. Southern African Development Community kifupi: SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980.
Jina la awali "Southern African Development Community Conference" (SADCC) lilifupishwa kuwa Southern African Development Community tarehe 17 Agosti 1992.