Nchi za KiarabuWanachama za Jumuiya ya Nchi za Kiarabu Kijani nyeusi: wakazi wengi hutumia Kiarabu Kijani nyeupe: maeneo ya nchi wanachama ambako wenyeji hawatumii Kiarabu kama lugha ya kwanza kijani milia:wasemaji wa Kiarabu ni wachache; katika Jibuti, Somalia na Komori si lugha rasmi ya serikali
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu ni ushirikiano wa nchi za Afrika ya Kaskazini na Asia ya Magharibi. Ilianzishwa na nchi zinazokaliwa hasa na Waarabu. Imepokea pia nchi kama Komori zisizotumia Kiarabu kama lugha rasmi.