Mfalme Jungcheon wa Goguryeo (224-270, r. 248-270) alikuwa mtawala wa kumi na mbili wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne