Kabila la Yuda

Kabila la Yuda ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Mtu maarufu zaidi wa kabila hilo ni Yesu aliyekuwa mwana wa Bikira Maria, lakini alijulikana kama mtoto wa Yosefu wa ukoo wa mfalme Daudi na kwa hiyo wa kabila la Yuda.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Yuda kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne