Kabinda (pia: Cabinda, Chioua) ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Kabinda. Ndio mji mkuu wa mkoa.
Mwaka 2014 idadi ya watu ilikuwa 624,646.
Developed by Nelliwinne