Downtown Kabwe, Zambia, wakitazama Njia ya Uhuru huku Mnara wa Kitaifa wa Mti Mkubwa (mtini mkubwa) ukionekana barabarani (upande wa kulia wa picha)
Kabwe, Zambia (jina la awali: Broken Hill) ni mji wa Zambia katika Mkoa wa Kati.
Mwaka 2010 ulikuwa na wakazi 202,914[1].
- ↑ https://www.citypopulation.de/en/zambia/admin/