Kadoko

Sanamu yake huko Bretagne.

Kadoko (pia: Cadoc, Cadog, Cadocus, Catawg, Catwg;; 497[1] hivi - 580) alikuwa mmonaki wa Welisi, abati huko Llancarfan anayetajwa kama mwanzilishi wa makanisa mbalimbali hata Cornwall na Bretagne [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi [3] na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba[4].

  1. Strayner, Joseph R., ed. Dictionary of the Middle Ages (New York: Charles Scribner's Sons, 1983) p. 6
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/71270
  3. Hutchinson-Hall, John. Orthodox Saints of the British Isles. Vol I (St. Eadfrith Press, 2013) p. 75
  4. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne