Kangchenjunga

Mlima Kangchenjunga

Kangchenjunga ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,586 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na India.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne