Karen Jo Pini (alizaliwa tarehe 30 Julai 1957)[1] Ni mwigizaji, Mwanamitindo, Mtu mashuhuri wa televisheni, na mshindi wa taji la mashindano ya urembo kutoka Australia. Aliiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwaka 1976 yaliyofanyika London Uingereza na kumaliza katika nafasi ya pili. Pia alikuwa centerfold aliyejitokeza uchi katika toleo la kwanza la jarida la Australian Playboy la Australia mnamo Februari 1979. Pini pia alikuwa mshirika mwenza wa droo ya bahati nasibu ya New South Wales iliyokuwa ikirushwa kwenye televisheni kila wiki kwa miaka kumi na miwili.[2][3]
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)