Karne ya 13 KK


Ulimwengu wa Kale ulivyokuwa kwenye mwaka 1300 KK.

Karne ya 13 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1300 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1201 KK.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne