Karne ya 20

Karne ya 20 ni karne iliyoanzia tarehe 1 Januari 1901 na kuishia tarehe 31 Desemba 2000.

Matukio mengi yalitokea wakati wa karne ya 20 yakiwemo ya vita kuu mbili za dunia na kustawi kwa sayansi, teknolojia na sekta ya viwanda duniani.

Katika karne ya 20 idadi ya watu iliongezeka zaidi sana ulimwenguni, kuliko karne zote zilizopita.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne