Karne ya 21

Karne ya 21 ni karne ya kisasa kufuatana na Kalenda ya Gregori. Ilianza tarehe 1 Januari 2001 na itamalizika tarehe 31 Desemba 2100.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne